Diamond Platnumz ft Koffi Olomide – Achii Mp3 Download
Tanzanian bongo flava recording artist, dancer, philanthropist, and businessman Naseeb Abdul Juma Issack, popularly known by his stage name Diamond Platnumz who also owns WCB Wasafi Record Label, Wasafi Bet and Wasafi Media, drops a brand new single tagged “Achii” featuring Congolese soukous singer, dancer, producer, and composer Antoine Christophe Agbepa Mumba, known professionally as Koffi Olomidรฉ. The production credits for the song โAchiiโ go to the talented music producer Lizer Classic. His skills behind the boards have helped create a sound that is both unique and captivating. This is a song you would definitely enjoy listening to.
., It will be a nice choice for you to bookmark this website and use the search button to look for any music of your choice ( in the case of old songs which you could not find, donโt worry just notify us via our email and donโt forget to let us know how you feel after each download.
(Le gรฉnรฉral Dangote)
Oooh oooh, wenye mji wamevamia
(Le grand ?)
Eeeh eeeh, wangela wanaingia
(Mama Dangote)
Oooh oooh, wenye mji wamevamia
(Le grand ?)
Ona mpaka leo, oh majibu sipati
Yaani mpaka leo nabaki katikati
Rafiki rafiki
Rafiki wa kweli ni nani
Rafiki rafiki
Ni ndugu ama jirani
Umeparty naye kwa starehe
Wakulia nawe msibani
Wakukosa akuongezee
Ama yule wa nipe nami
Mwenzenu nimekosa
Rafiki yangu pesa
Rafiki yangu pesa
Rafiki yangu pesa
Rafiki yangu pesa
Asa chi achi (achii)
Chibu Dangote (achii)
Yama chi achii (achii)
Dachidi benzi (achii)
Asa chi achi (achii)
Achibua geto (achii)
Akuombe chii ni chi (achii)
Chipolopolo asa chii
Achi! chi! chi!
Achi! chi! chi!
(La prรฉsidente Mama Samia)
[Koffi Olomide]
(La prรฉsidente Mama Samia)
Ey, achike chike achiki
Achike chike achiki
Achike chike achiki
Achike chike achiki
This is obao
Dabolo kings
Dansi bito, dansibide
Dansi sukari
Tobina!
Dansimbakamu
Dansibideda dansibi
Zindebakune zinda
Zindebakune zinda
Usepeta zinda
Usepeta zinda
Zinda bagolo zinda
Osepenza zinda
Mama lia bangondo lia
Lia bangondo lia
Mama lia bangondo lia
Lia bangondo lia
[Diamond Platnumz]
Chiriwaango
Chiriwaango babu
Chiriwaango
Chiriwaango babu
Oh niache in the moody leo
Nataka niparty nipartyke
Niache nkafurahiye
Nataka niwimbotwike
Niache in the moody leo
Nataka niparty nipartyke
Niache nkafurahiye
Nataka niwimbotwike
Oh niache in the moody leo
Nataka niparty nipartyke
Niache nafuraha leo
Nataka niwimbotwike
Niache in the moody leo
Nataka niparty nipartyke
Niache nafuraha leo
Nataka niwimbotwike
Wambie marafiki
(Sa nimebado bombo)
Ooh mimi leo
(Sa nimebado bombo)
Ah na wanangu
(Sa nimebado bombo)
Ai mimi hapa
(Sa nimebado bombo)
Yani mwenzenu
(Sa nimebado bombo)
Nasema leo
(Sa nimebado bombo)
Pusa pusa pusa
Pusa mama pusa
Pusa babe pusa
Yaka (taka)…